Kaunti ya Kakamega kushirikiana na serikali ya taifa kufanikisha miradi ya maendeleo

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali ya kaunti ya Kakamega itashauriana na wasimamizi wa miradi ya serikali ya kitaifa ili kuhakikisha ile ambayo imezinduliwa katika kaunti hiyo inakamilishwa kwa wakati ufaao. Gavana wa kaunti hiyo, Fernandes Barasa amesema viongozi wa kaunti watakuwa wakikutana na maafisa wa serikali ya taifa kila baada ya miezi mitatu kujadili hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa miradi na changamoto ibuka kwa minajili ya ustawi wa kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive