Gachagua adaiwa kuhusika na ufisadi wa ksh 5.2b

  • | Citizen TV
    1,998 views

    Mbunge wa kibwezi magharibi mwengi mutuse amewasilisha makosa 11 anayosema ndio sababu ya kuwa naibu rais Rigathi Gachagua hafai kuendelea kuwa naibu rais. Kwenye hoja yake ya kumuondoa Gachagua ofisini, makosa ya ukiukaji wa sheria na ufisadi yametajwa kama sababu kuu za kumfuta kazi.