Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wamuaga Raila huku mazishi yake yakitarajiwa jumapili. Matangazo ya Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,733 views
    Duration: 28:10
    Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa kitaifa wa NYAYO jijini Nairobi kwa Ibada ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga. Odinga atazikwa siku ya Jumapili Octoba 19 kando ya baba yake Jaramogi Oginga Odinga. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw