Naibu inspekta wa polisi Eliud Lagat asema wachochezi wa vita Tana River watakamatwa

  • | Citizen TV
    1,886 views

    Naibu Inspekta Wa Polisi Eliud Lagat Amesema Baadhi Ya Watu Wanaochochea Machafuko Baina Ya Jamii Mbili Katika Eneo La Tana River Watakamtwa Hivi Karibuni Na Kufikishwa Mahakamani.