Nyong’o asema chama cha ODM kitabuni serikali ijayo

  • | KBC Video
    152 views

    Kaimu kiongozi wa chama cha ODM Professa Anyang Nyong'o ametoa hakikisho la mikakati madhubuti ya kuimarisha chama hicho anapochukua hatamu za uongozi kutoka kwa Raila Odinga ambaye ameelekeza azma yake katika kampeni za uenyekiti wa tume ya Muungano wa Afrika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive