- 347 viewsGeron Msigwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa kufuzu kuingia kwenye michuano ya Afcon 2025 kati ya Taifa Stars -Tanzania na timu ya DRC Leopard kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mjini Daressalaam Tanzania. Baada ya mchezo Katibu wa wizara hiyo Gerson Msigwa ameelezea kutoridhishwa na matokeo hayo huku akionyesha imani juu ya timu hiyo kufuzu fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika nchini Morocco. Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa marejeano wa kufuzu fainali za AFCON 2025 dhidi ya DR Congo kwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabao ya Congo yamefungwa na mshambuliaji Meshack Elia katika dakika za 88 na 90+, nyota huyo akiitumikia Young Boys ya Uswisi katika ngazi ya klabu. Licha ya kupoteza mashabiki wa Stars wamezungumzia mchezo huo wakionyesha ilipokosea. Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo, Tanzania (Taifa Stars) nafasi ya pili ikiwa na pointi 4, Guinea nafasi ya tatu pointi 3, Ethiopia ikishika mkia ikiwa na pointi 1. #tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja
Msigwa aeleza bado anaimani timu ya Tanzania itafuzu AFCON 2025
- 18 Jun 2025 - KNH received 16 casualties from the violent protests that were witnessed on Tuesday, acting Chief Executive Officer (CEO) William Sigilai has confirmed.
- 18 Jun 2025 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has condemned the shooting of hawker Boniface Kariuki by a police officer in Nairobi on Tuesday.
- 18 Jun 2025 - OCS Nairobi Central Police Station, Samson Talaam, has been detained for 15 days to allow police to complete investigations into the murder of blogger Albert Ojwang, who was killed while in police custody.
- 18 Jun 2025 - In response to a series of troubling police cases, Governor Wanga declared, "Enough is enough," as she mourned the death of Voi-based teacher and blogger Albert Ojwang.
- 18 Jun 2025 - The protests in Nairobi reportedly injured at least 17 people, including a hawker shot at close range by a police officer.
- 18 Jun 2025 - 'We want protection from criminals who take advantage of protests to destroy our livelihoods.'
- 18 Jun 2025 - Gaza rescuers say 33 killed by Israel fire
- 18 Jun 2025 - The resolutions came following a closed-door meeting with key stakeholders.
- 18 Jun 2025 - Sh1 billion Aquaculture centre set to transform fish farming in Kakamega
- 18 Jun 2025 - Magistrate Ekhubi ruled that state had provided credible reasons to justify extended detention