- 947 viewsMashabiki wa Tanzania -Taifa Stars wakishangilia timu yao katika mchezo wa kufuzu kuingia kwenye michuano ya Afcon 2025 kati ya timu ya Taifa Stars (Tanznaia) na DRC- Lepoard kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mjini Dar es Salaam ambapo DRC waliibuka na ushindi wa bao 2-0. Taifa Stars imepoteza mchezo wa marejeano wa kufuzu fainali za AFCON 2025 dhidi ya DR Congo kwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabao ya Congo yamefungwa na mshambuliaji Meshack Elia katika dakika za 88 na 90+, nyota huyo akiitumikia Young Boys ya Uswisi katika ngazi ya klabu. Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo, Tanzania (Taifa Stars) nafasi ya pili ikiwa na pointi 4, Guinea nafasi ya tatu pointi 3, Ethiopia ikishika mkia ikiwa na pointi 1. #tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja
Mashabiki wa Taifa Stars wakihamasisha timu yao kufuzu kuingia AFCON 2025
- - NTV Kenya LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 5 Aug 2025 - Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
- 5 Aug 2025 - Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
- 5 Aug 2025 - Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
- 5 Aug 2025 - Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
- 5 Aug 2025 - Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
- 5 Aug 2025 - Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
- 5 Aug 2025 - Why civil society wants Hustler Fund scrapped
- 5 Aug 2025 - Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
- 5 Aug 2025 - Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
- 5 Aug 2025 - Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion