- 643 viewsMajimbo hayo ambayo ni maarufu kama ‘Swing States’ ni muhimu kushinda kuingia White House mwaka 2024. Majimbo haya yanayoshindaniwa yanashuhudia kampeni kali za kisiasa na za gharama, na wapiga kura wake wanaushawishi mkubwa katika uchaguzi huo. Kwa hivyo hili linafanyika vipi? Majimbo mengi zaidi yanatabirika kuwa mekundu au bluu (Republikan au Democratic), hivyo chaguzi zao hazina ushindani. Lakini katika swing states, matokeo ya uchaguzi yanaweza kuelemea upande wowote. Mgombea anahitaji kura za wajumbe 270 kati ya 538 kushinda urais, kawaida kuna majimbo ambayo mshindi anachukua kura zote za wajumbe. Swing states hutoa kura za maamuzi, na kuwaruhusu wagombea kuvuka kizingiti kilichowekwa. Mwaka huu, Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, North Carolina, Pennsylvania na Wisconsin wana uamuzi nani ataingia White House. Kati yao, kuna kura za wajumbe 93 ambazo zinaweza kuelemea upande mwekendu au bluu. Majimbo haya yana kura chache za wajumbe kwa sababu ya uwiano wa karibu kati ya wapiga kura wa Republikan na Demokrat. Kuhama kwa idadi ya watu na ushindani wa maoni kati ya maeneo ya mijini na vijijini unafanya matokeo hayatabiriki. Endelea kusikiliza... #swingstates #marekani #uchaguzimkuu2024 #warepublikan #wademokratiki #wapigakura
Yafahamu majimbo maarufu kama 'Swing States' ambayo wagombea ni muhimu kushinda kuingia White House
- 18 Jun 2025 - KNH received 16 casualties from the violent protests that were witnessed on Tuesday, acting Chief Executive Officer (CEO) William Sigilai has confirmed.
- 18 Jun 2025 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has condemned the shooting of hawker Boniface Kariuki by a police officer in Nairobi on Tuesday.
- 18 Jun 2025 - OCS Nairobi Central Police Station, Samson Talaam, has been detained for 15 days to allow police to complete investigations into the murder of blogger Albert Ojwang, who was killed while in police custody.
- 18 Jun 2025 - In response to a series of troubling police cases, Governor Wanga declared, "Enough is enough," as she mourned the death of Voi-based teacher and blogger Albert Ojwang.
- 18 Jun 2025 - The protests in Nairobi reportedly injured at least 17 people, including a hawker shot at close range by a police officer.
- 18 Jun 2025 - 'We want protection from criminals who take advantage of protests to destroy our livelihoods.'
- 18 Jun 2025 - Gaza rescuers say 33 killed by Israel fire
- 18 Jun 2025 - The resolutions came following a closed-door meeting with key stakeholders.
- 18 Jun 2025 - Sh1 billion Aquaculture centre set to transform fish farming in Kakamega
- 18 Jun 2025 - Magistrate Ekhubi ruled that state had provided credible reasons to justify extended detention