Bei ya unga ya ugali yapungua hadi shilingi 100

  • | KBC Video
    17 views

    Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bei ya pakiti ya kilo mbili ya unga wa mahindi iuzwe kwa shilingi mia moja. Uamuzi huo uliafikiwa baada ya mazungumzo baina ya serikali na wasagaji mahindi ambapo serikali ilikubali kuondoa ushuru wa reli na ule wa kuagiza mahindi kutoka nje.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #unga #uhurukenyatta