Uhifadhi wa Afrika wajadiliwa Kigali, Rwanda
Kuna haja ya haraka kwa nchi za Afrika kuongeza kiwango cha uwekezaji katika uhifadhi wa bioanuwai na huduma za mfumo wa ikolojia. Katika mkutano uanendelea mjini Kigali Rwanda, afrika ina pengo la dola million 7 ilikufikia azma yake ya kujitegema kama bara katika uhifadhi. Na kama anavyoripoti Hubbah Abdi akiwa Kigali Rwanda viongozi wa afrika wamehimizwa kujiunga na mkataba huo na kufanya juhudi za afrika kuwa endelevu.
#####
Wakenya wanapokaribia kupiga kura agosti 9 mwaka huu , kampuni ya Usiku Games imezindua mchezo wa elimu ya uraia ili kuwawezesha wapiga kura kwa mara ya kwanza nchini Kenya kufanya maamuzi sahihi kuhusu viongozi
watakaowachagua katika uchaguzi ujao. Mchezo huo mpya unaopewa jina la WEWE, unalenga kuwafundisha vijana kuwa na fikra makini na kupiga kura kwa kuzingatia sifa si makabila. Hubbah Abdi anarifu zaidi.
#####
Huku mzozo wa chakula ukiubuka duniani kote kama athari za uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine, Rais wa Russia Vladimir Putin alikutana na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan katika mji mkuu wa Iran, Tehran, wakiangazia macho yao kufikia makubaliano ya kuanzisha usafirishaji wa nafaka ya Ukraine kupitia bahari nyeusi. Sunday Shomari ana taarifa zaidi.
29 Apr 2024
- The Improvised Explosive Device (IED) was planted in the town near the Administrative Police (AP) post.
29 Apr 2024
- The proposal is in line with the government's plan to construct 100,000 kilometres of a national fibre optic line.
29 Apr 2024
- In this Newsletter, we are covering Museveni's tough talk at KICC and decision to lift ban for Ruto only.
30 Apr 2024
- The International Committee of the Red Cross (ICRC) has stabilised its finances after drastic crisis cuts, its new director said in comments published Monday.
30 Apr 2024
- Death and destruction in Mai Mahiu, Naivasha Nakuru County are the latest effects of the ongoing heavy rains.
30 Apr 2024
- Local official Olga Bobadilla told RPP radio the incident late Sunday happened on a potholed dirt road in the Andean region of Cajamarca, "and the bus fell into an abyss" some 200 meters (some 650 feet) deep.
30 Apr 2024
- The situation at the Kisumu bus terminus on Monday morning was dire, with tens of students with packed bags remaining stranded as their journey to school for the second term was cut short.
30 Apr 2024
- Heavy floods persistently ravage properties while also causing damage to roads and infrastructure, disrupting transportation services in numerous counties.
29 Apr 2024
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has announced the closure of Mai Mahiu - Narok Road.
29 Apr 2024
- Karua, in a statement issued on Monday, also urged the Education Ministry to reconsider the postponement of school reopening to ensure the safety of students, as well as relocate those affected by the floods.
29 Apr 2024
- Grief, sorrow and a sense of emptiness struck the families who lost their kin on Sunday evening on a boat that capsized in the Kona Punda area in Tana River County.
29 Apr 2024
- Hopes rose Monday for a long-sought truce and hostage release deal after almost seven months of war between Palestinian Hamas militants and Israel in Gaza.
29 Apr 2024
- Studies suggest it may reduce inflammation and discomfort and boost the immune system