- 776 viewsPapa Francis amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin huko Vatican ambako Francis ameiombea amani Gaza. Papa,mwenye umri wa miaka 87, amesema kwamba Wapalestina wanataabika kutokana na ukandamizaji mbaya wa kibinadamu. Mapema, Austin alizungumzia hali ya Gaza akisema kwamba iwapo hatua hazitachukuliwa kusuluhisha hali mbaya ya kibinadamu, itapelekea kutokea kwa makundi zaidi ya waasi. Austin alihudhuria misa ya kutawazwa makuhani katika bustani ya mtakatifu Petro. - Reuters #papafrancis #vatican #rome #waziriwaulinzi #marekani #lloydaustin #amani #wapalestina #israeli
PAPA FRNACIS AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA MAREKANI
- - NTV Kenya LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 5 Aug 2025 - Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
- 5 Aug 2025 - Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
- 5 Aug 2025 - Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
- 5 Aug 2025 - Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
- 5 Aug 2025 - Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
- 5 Aug 2025 - Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
- 5 Aug 2025 - Why civil society wants Hustler Fund scrapped
- 5 Aug 2025 - Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
- 5 Aug 2025 - Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
- 5 Aug 2025 - Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion