- 1,199 viewsMwigizaji wa Uingereza Idris Elba ameiambia BBC kwamba atahamia Afrika ndani ya muongo mmoja ujao, ikiwa ni sehemu ya mipango yake ya kusaidia tasnia ya filamu barani humo. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 52, ana mpango wa kujenga studio ya filamu katika visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania, na studio nyingine katika mji mkuu wa Ghana, Accra. "Nitapenda kuishi Accra, nitaishi Freetown Sierra Leone, nitaishi Zanzibar. Nitajaribu kwenda kule wanakosimulia hadithi, hilo ni muhimu sana." #bbcswahili #filamu #hadithi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
BBC News Swahili
- - Sam's Sense ››
- - Bonyo's Bone ››
- - Kaikai's Kicker ››
- - Yvonne's Take ››
- 16 May 2025 - Residents protest neglect of colonial-era DC's office
- 16 May 2025 - PSC distances itself from UoN leadership wrangles
- 16 May 2025 - Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
- 16 May 2025 - Gachagua's party joins country's growing special-purpose vehicles
- 16 May 2025 - Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab
- 16 May 2025 - Tower of babel: Security chiefs at odds as Kenya faces mounting threats
- 16 May 2025 - Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder
- 16 May 2025 - Private firm to inject Sh12.3b to revive sugar factories
- 16 May 2025 - CMA approves Standard Group's Sh1.5b rights issue
- 16 May 2025 - 24 million Kenyans wear mitumba: Report