Mwanafunzi Mmarekani aeleza kuishi Senegal hakuathiri mtizamo wake kama mpiga kura
Uchaguzi wa rais nchini Marekani unaleta msisimuko miongoni mwa baadhi ya wanafunzi wa Marekani wanaoishi nchini Senegal. Licha ya kuwa wako mbali na nyumbani wanasema bado wanavutiwa na kile kinachotokea katika makaazi yao ya asili. Sikiliza anavyosema mmoja wa mwanafunzi wa Marekani kuhusu kuwepo kwao Senegal na fursa gani inayopatikana kutathmini ni mgombea gani anayefaa zaidi kupewa jukumu hilo... Endelea kusikiliza...
#uchaguzi #rais #senegal #marekani #wanafunzi #wagombea #republikan #demokratiki #voa #voaswahili
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion