- 2 views
Wanaume watatu katika eneo la Magarini, kaunti ya Kilifi wamedai kwamba wanahifia maisha yao baada ya kuhusishwa na ushirikina. Mmoja wa wanaume hao Robert Ngolo anadai alishambuliwa na vijana waliomshutumu kwa kumroga mvulana wa jirani ambaye alifariki alipokuwa akitibiwa.Majirani wake John Safari na Daniel Kalama ambaye ni mzee wa jamii kutoka kijiji cha Bungale pia wanaidai maisha yao yamo hatarini. Watatu hao wanasema sio mara yao ya kwanza kuwasilisha taarifa kwa polisi kuhusiana na vitisho hivyo lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. Wanasema ikiwa serikali haitaingilia kati, huenda watu wasiokuwa na hatia wakapoteza maisha kwa kuhusishwa na ushirikina.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News
Wanaume watatu Kilifi wahofia maisha yao kwa madai ya ushirikina
- 21 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) is seeking 21 days to detain Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the murder of two patients at Kenyatta National Hospital. Kalombotole was arraigned at the Kibera Law Courts on Monday in connection…
- 21 Jul 2025 - The program is the first of its kind in the country.
- 21 Jul 2025 - Trans Nzoia Governor George Natembeya is back in office following the lapse of a 60-day ban issued by the court over corruption allegations.
- 21 Jul 2025 - He is accused of being in possession of two unused teargas canisters and one blank bullet.
- 21 Jul 2025 - The affected will have their lands reallocated or repossessed.
- 21 Jul 2025 - Former Prime Minister Raila Odinga has urged Kenyans to embrace conversation over confrontation in order to resolve the country’s deepening social and political crises. Speaking about his proposal for a national dialogue process dubbed the…
- - Activist Boniface Mwangi in court, denies terrorism charges
- 21 Jul 2025 - It argets 250,000 farmers in 11 counties to shield them from climate shocks and boost food security
- 21 Jul 2025 - The initiative will see smallholder farmers automatically enrolled in crop insurance
- 21 Jul 2025 - "The God, who gives, has taken away. Rest in peace, Mama. You were loved,” the MP said.