- 7 views
Chama cha walimu wa sekondari na vyuo KUPPET kimepinga mapendekezo ya marekebisho ambayo yatajumuisha shule za junia sekondari katika mfumo wa shule za msingi kama shule jumuishi. Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa KUPPET tawi la Kericho, naibu mwekahazina wa chama hicho Ronald Tonui alisema kuwa shule za junia sekondari zinapaswa kusalia katika kiwango tofauti cha elimu, tofauti na shule za msingi, ili kuhakikisha mazingira bora ya masomo yanayoambatana na mahitaji ya maendeleo ya wanafunzi wa shule za junia sekondari.Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Dira ya kaunti: Taarifa mseto kutoka magatuzini
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi has been charged with unlawful possession of ammunition following his Saturday evening arrest at his home in Lukenya, Machakos County.
- - Family of 72-year-old man charged with conspiracy to murder protests case delay
- 21 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) is seeking 21 days to detain Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the murder of two patients at Kenyatta National Hospital. Kalombotole was arraigned at the Kibera Law Courts on Monday in connection…
- 21 Jul 2025 - The program is the first of its kind in the country.
- 21 Jul 2025 - Trans Nzoia Governor George Natembeya is back in office following the lapse of a 60-day ban issued by the court over corruption allegations.
- 21 Jul 2025 - He is accused of being in possession of two unused teargas canisters and one blank bullet.
- 21 Jul 2025 - Government drops terrorism charges against activist Boniface Mwangi
- 21 Jul 2025 - David Maraga: From CJ to activism, could he become King?
- 21 Jul 2025 - Trump and Epstein: What was their relationship?
- 21 Jul 2025 - The affected will have their lands reallocated or repossessed.