Takriban watu 51 wafariki kutokana na mafuriko Uhispania
Wizara ya ulinzi na picha za polisi zimewaonyesha wafanyakazi wa huduma za dharura wakikagua nyumba zilizokumbwa na mafuriko na kuwaokoa watu kwenye mji wa Utiel.
Dazani za video zilizobandikwa kwenye mitandao ya kijamii usiku zimewaonyesha watu wakiwa wamekwama kwenye maji ya mafuriko, wengine walipanda kwenye miti kuepuka kusombwa na maji.
Carlos Mazon, mkuu wa mji wa Valencia aliwaambia waandishi wa habari baadhi ya watu bado wametengwa katika maeneo ambayo hayafikiki.
Hata hivyo huduma za dharura katika eneo hilo zimewasihi raia kuepuka safari za barabarani na kufuatilia taarifa nyingine kutoka vyanzo rasmi. - Reuters
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion