Serikali yatoa ilani kwa jamii zinazoishi katika misitu ya Longoman na Likia kuondoka

  • | Citizen TV
    280 views

    Serikali Imetoa Ilani Kwa Jamii Za Maasai, Kipisgis And Ogiek Zinazoishi Ndani Ya Misitu Ya Longoman Na Likia Kuondoka Ndani Ya Misitu Hiyo Ili Kutoa Nafasi Kwa Oparesheni Ya Usalama Kuwasaka Wahalifu Wanaochochea Vita Na Uhasama.