Wakaazi wa Taita Taveta wapata mafunzo kuhusu matumizi ya kawi safi

  • | Citizen TV
    250 views

    Asilimia 40 ya watu wanaoishi kaunti ya taita-taveta wanatumia kuni na makaa kupika kila siku. Hii ni kulingana takwimu zilizotolewa na wizara ya kawi ya kaunti hiyo. Serikali ya kaunti ikiitaka jamii kukumbatia mbinu kawi inayohifadhi mazingira.