Sekta ya boda boda kunufaika – RUTO

  • | K24 Video
    2,062 views

    Rais William Ruto ameahidi kuiboresha sekta ya boda boda nchini kwa kuwapa mazingira bora ya kufanyia kazi mijini pamoja na kuweka mikakati ya kupunguza bei ya pikipiki zinazonunuliwa na wahudumu wa boda boda.