Serikali yajizatiti kuepuka adhabu ya CAF

  • | K24 Video
    16 views

    Serikali imechukua hatua za mapema za kiusalama ili kuepuka adhabu zaidi kutoka kwa shirikisho la soka Afrika, CAF usiku huu ambao Harambee stars inacheza mechi yake ya pili ya dimba la CHAN uwanjani kasarani.