
3,336 views
10 Jan 2021
Masha Mapenzi Music Song Title : Umwaminifu (Pamoja Na Wewe) Artist : Masha Mapenzi Producer : Ihaji Year : 2021 --------------------------- Oh Oh Oh Umwaminifu Yahweh Umwaminifu Umwaminifu Umwaminifu Yahweh Bwana u, sehemu yangu, Rafiki yangu wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Eh .. Bwana u, sehemu yangu, Rafiki yangu ni wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Mali hapa mie sikutaka, Ili niheshimiwe, eh Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe Sawasawa na wewe Mali hapa mie sikutaka, Ili niheshimiwe, eh Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe Sawasawa na wewe Pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Pamoja .. pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Niongoze safarini, Mbele unichukue, eeh Mlangoni mwa mbinguni, Niingie na wewe. Pamoja Na wewe Niongoze safarini, Mbele unichukue, eeh Mlangoni mwa mbinguni, Niingie na wewe. Pamoja Na wewe Pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Pamoja Pamoja na wewe, Katika safari yangu, Tatembea na wewe. Umwaminifu Umwaminifu Umwaminifu Baba aah Umwaminifu Baba Umwaminifu Baba Umwaminifu Wewe ..eeeh Umwaminifu Yahweh Umwaminifu Baba Umwaminifu Hakuna kama wewe.. eeh Umwaminifu Umwaminifu .. uuh Umwaminifu, Yahweh