
38,232 views
4 May 2013
Lyrics (Sing along) ----------------------------- Bwana wewe Bwana Bwana Bwana Bwana wewe ndiwe mwenye mamlaka Bwana wewe Bwana Bwana Bwana Bwana wewe ndiwe Alpha na Omega Neno la Bwana Ni Tamu Tamu onja sikia Tam' Tam' ukitimiza Tam' Tam' Mavuno Yake Tam' Tuzo Lake Tam', Linatosheleza ukiliamini neno, utabarikiwa lina manufaa neno lina manufaa neno x2 verse 1 ---------- Tazama ajuza Sarah alimpata mwana tasa Hannah alishika mimba kipofu Batimayo aliona, aliona hata Lazaro, alifufuka kwa neno juu ya maji Petro alitembea anayetii neno ana busara, ana busara Neno la Bwana Ni Tamu Tamu onja sikia Tam' Tam' ukitimiza Tam' Tam' Mavuno Yake Tam' Tuzo Lake Tam', Linatosheleza ukiliamini neno, utabarikiwa lina manufaa neno lina manufaa neno verse 2 ---------- Pepo na bahari, vilimtii Bwana aliamuru, dhoruba tulia samaki wa majini, alilipa ushuru, alilipa hata kifafa, kilitoweka kwa neno pepo wachafu walisalimu amri miujiza ya ajabu bado inatendeka sasa, inatendeka Neno la Bwana Ni Tamu Tamu onja sikia Tam' Tam' ukitimiza Tam' Tam' Mavuno Yake Tam' Tuzo Lake Tam', Linatosheleza ukiliamini neno, utabarikiwa lina manufaa neno lina manufaa neno x2 Tam' Tam' by Masha Mapenzi is a gospel music video by Zinduka international and audio works by RKay. A part of compilations in taarab and chakacha style from east african kenyan coast of mombasa and malindi.