11% ya wanafunzi wa vyuo vikuu hawakupata masomo wakati wa COVID-19

  • | Citizen TV
    485 views

    Asilimia 11 ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu na taasisi za kiufundi nchini walikosa masomo kupitia mtandao wakati wa janga la COVID 19. Ukosefu wa data pamoja na wahadhiri kukosa kukumbatia mpango huo wa masomo zimetajwa kama mojawapo ya sababu kuu huku wanafunzi wanaotoka katika familia zenye mapato ya chini zikisemekana kupitia changamoto hiyo hadi sasa. francis mtalaki anaangazia sula hilo lililoibuliwa wakati wa kongamano la elimu ya juu ambalo linakamilika tLeo Mombasa.