Hoteli maarufu Marekani yabomolewa kwa mlipuko

  • | BBC Swahili
    1,334 views
    Tazama picha za ndege zisizo na rubani zinavyoonesha tukio hili la ubomoaji wa hoteli maarufu Marekani. Hoteli ya Sheraton Crossroads iliyoko Mahwah, New Jersey, Marekani, imebomolewa kwa mlipuko uliodhibitiwa. Jengo hilo maarufu lenye vioo na chuma lilifunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1987 na lilifungwa Desemba 2023. #bbcswahili #marekani #ubomoajimajengo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw