
960 views
9 Mar 2021
INTRO Yesir, kweli kabisa, Kamanda full, kama kama ,Zusha nao, Niko na Jaaz - buda VERSE ONE Baba Inglia kati Niko surrounded na watiaji Na leo wamenijamisha Niko kwa mood ya vita Nina majaribu ya kulipiza Najua hasira ni shida Na mi sitaki kuishi vibitter Kuna mabattle mi hufight by walking away Hi ya leo naipeana to faster kwako yahweh Ju kaa siko rada mi nitaburn anger Halafu visanga zablunder Naleta issues at your feet Usipokuja nakula defeat Ju opponents’ wananichezea ndula Na referee ni wao so ni makadi nakula But siweki silaha zangu chini bila fight Ju as long as uko kwa throne it's gone be alright Sibabaiki nikisail kwa hii bloody sea Ju we ndio captain and that's the safest place that I could be So deal nao vile unataka don't spare the rod Yeah wapige with your mercy najua we God Yeah wajue we ni God CHORUS [Zusha Nao x4 Wanaozusha na mimi baba we zusha nao] x2 Zusha Nao [Pigana nao x4 Wanaopigana nami baba pigana nao] x2 VERSE 2 God Hakuna kitu huwa inahappen bila mi kujua Hakuna word yangu huwanga 50/50 zote sure Mi hujitukuza vile nataka sio vile unadhani Na ka kuna rada safi shinda yangu then ni rada gani Persevere hii ngori itapita pia usirun ju bado kuna more to come probably tougher than the current one Yeah ju kunaa malesson haujalearn son Amini niko orderly na mine ndio the sovereign plan Na haya mapito unapitia yana ujumbe straight from my heart So nataka uwe mwaminifu even when you’re hurt Sisemi uwe na unyonge wakati unanyanyaswa Ila fuata neno langu kwa Jinsi mambo yanapaswa Shikilia the truth kwa kila moment Na ka unashuku nakupenda angalia atonement Wakikumock juu yangu count it all joy Na ile time unasuer usijiulize why Grow through the process nakusanctinfy Ju hata wakikuatack kuna mahali hawatafika Ju kila time ukiwa kwa moto niko hapo ka fourth figure Na tactics zangu zote hamwezi figure out Wanakuatack but kwa mikono zangu hawakupluck out Mi ndio bonge la defender Hawanipiti hata wakikuchenga no What I put my son through for you hauwezi imeasure But kaa ukijua that in eternal life, you possess a far grander treasure CHORUS [Zusha Nao x4 Wanaozusha na mimi baba we zusha nao] x2 Zusha Nao [Pigana nao x4 Wanaopigana nami baba pigana nao] x2 #Kamlesh #ZushaNao #N2G