
2,697 views
19 Jun 2020
Written & Performed by Kamlesh Kagaba Produced by Jesus Man Productions & Chumbani Directed By East Hood Entertainment Album : Ngori To Glory LYRICS Intro Noma kubwa mse Ka si Mola adui angenisweep away But God alicheza kubwa alicheza juu Niko hapa kudeclare kuwa ni mkubwa na ako juu Verse One Kidogo naona rende imekuja kwa fujo Vurugu na matusi hata bila maintro Kijana leta simu kaa chini Without articulating wamenishikia nini Hapa kuna supu moto na we uko ndani Nikashindwa supu tena hizi ni gani Wakachukua passport na kunipiga picha Though DCI sura yangu walificha Media hawakungoja kuhakikisha Faster kwa news- wakaniaka Mablogger wakadandia content imejipa Kumbe God anahandle hicho kisa Nikapigwa pingu na kutupwa kwa boot To make it worse maen my wife was on the look Nikakumbuka nikicheza gondi sinya Sa hiyo nimefinyika naenda mahali copy sina Manze sisystem za ulimwengu zimerot Mi kuwa na dready ilifit their plot Kweli Kenya mnyonge hananga say Some of the details il save for another day But who can be against us when (God is for us S/o to God men it could have been worse) x2 Conjunction : Noma kubwa mse Verse Two Tukafika zone ya makauzi kwa station Na kukaribishwa kwa matusi siwezi mention Haya customers, ingieni ndani Mbang'a akasema na kimadharau flani Kuingia ndani kuna bongea la jamaa Amekaa kamiti miaka kadhaa Na anakaachizi Nikamind but nikajifanya easy Saa hiyo floor iko freezing Na chupa za soda zimejaa mikojo Ule uvundo ulio pale mse si mchezo Tuko cell but tunabaguliwa jina tukapatiwa -dangerous people Akili imejaa mawazo na moyo ni mzito Niko pabaya kwa swala sikuhusika Nasingiziwa ati nilisanya mamita Kesi nzito hata huwezi lala Y'all have no idea vile gava hutubeba ufala Hakuna maji ya kuflash na choo ni chafu Kuoga ni wewe buda hakuna bafu Na manze siku ni ndefu Freedom ni more than ndechu Tuko hapo stori na macell mate Hii ngori imekujaje in the first place How could i be entagled in such a fatal case My heart broke sana kwa wanangu wawili Sa hiyo wapili ako less than miezi miwili Hook Noma kubwa mse Ka si Mola adui angenisweep away But God alicheza kubwa alicheza juu Verse Three Hiyo day nilikuwa nimedunga Kamfresh Watu wakakuwa then sure huyo ni Kamlesh Mneti ikawaka free Kamlesh Naskia nilitrend kuruka Watu walisimama nami mpaka mi nkashtuka Though kwa hii life tumezungukwa na masnake Leo niko free ju Mola alinivindicate Master huperfect ambao ye huelect Mola ni mpoa kwa kila anacho undertake Whether ana anibend ama anibreak Ukweli ulisimama Kama sio Mola no doubt ningezama Hata kama faith yangu ilikuwa tested None of my sorrows were ever wasted Yaani natrend tu nikiwa kwa ngori Thanks to God kuna evidence ya grace in my story Later nikapambana na PTSD Worry, anxiety kwa wanaonijali ombeeni G Ambieni burden ya grief niko kwa masters hand Mola bonge la hakimu nikiitwa kwa stand Kristo wakili na Holy Ghost shahidi Yeah I'm a sinner but for sure me sio gaidi Ukweli utazidi kuunfold kwa manoma zote bado God ananimold Time itareveal God anajua best For now we toil harder mpaka siku tutarest And put on a crown that will never fade Hizi systems ni bad but huku sio home Ambia wahusika what they did was wrong Vile waliniuse kama sacrificial lamb inanipain But niko hapa kudeclare kuwa worthy is the lamb that was slain Though walinitumia kama decoy Niko na Christ Na kwa hii journey sitadetour SUBSCRIBE ON MY CHANNEL AND FOLLOW ME HERE:- Facebook: https://www.facebook.com/Kamlesh.Kamanda/ Instagram: https://www.instagram.com/kamleshkagaba/ Twitter: https://twitter.com/KamleshKagaba SHUKRAN, #KamleshKagaba #Nomakubwa #NgoriToGlory