
98,911 views
Pitson feat Karura Voices
14 Mar 2025
I am so excited to present to you my newest song Tunawaombea from the Album #brandnewme. The song is available on all streaming platforms. https://pitson.lnk.to/BrandNewMe If you feel led to support my work, kindly send your contributions to: Paybill: 532900 Account: Pitson You can follow me as I follow Christ on: https://www.instagram.com/therealpitson?utm_source=ig_web_button_share_sheet&igsh=ZDNlZDc0MzIxNw== https://www.facebook.com/therealpitson/ https://www.tiktok.com/@pitsonmusic?lang=en TUNAWAOMBEA SANA Ft. Karura Voices LYRICS walio hospitalini waliomagerezani, walio na kesi kortini, ii kuna wale wamepoteza wapendwa wao, wazazi ndugu ama wana wao, oh tunawaombea sana kuna wale wamepata ripoti, saratani mwilini, ama virusi vya ukimwi, tunawaombea sana, kuna wale wamepoteza kazi, hawajui waanzie wapi, baba tunakuamini na tunawaombea Sana, Chorus. Tunawaombea sana,sana,sana, Tunawaombea sana mwe salama Tunawaombea sana sana sana Tunawaombea sana mwe salama Verse 2 Wakulima mpate mvua wauzaji wa barafu jua, vile itafanyika anajua Yeye nibaba, wanafunzi muelewe mnayo funzwa mpate karo msije fukuzwa aa tunawaombea sana, Ndoa zote zidumu zibarikiwe na mungu wanao tafuta watoto tunawaombea sana, Wasanii wachungaji wafanyi biashara wafungaji tunawaombea sana. Chorus Tunawaombea sana,sana,sana, Tunawaombea sana muwe salama X2