
225,220 views
18 Oct 2020
Send “SKIZA 5021032” to 811 Artist : Pitson Song : Nisaidie Audio Produced by JackyB Video Directed By SammyDee Verse 1 Nisaidie Baba nisiwahi lala njaa Nisaidie Baba nisipatwe na balaa Hasara iwe mbali nami hata kwa biashara Ninachouza wanunue nisibaki na bidhaa Aah aaah aaah Nisiwai kosa pesa ya kulipa nyumba ya kukodisha Pia unipe yangu nisiishi sana ya kukodisha Jinsi ya kupata doo wewe Baba ndio utanionyesha Utatoa vitu vinavyonikondesha Aah aaah Nisaidie Aaah aaah Nisaidie Verse 2 Itakuwaje baba jirani wanajua nimeokoka Na vile mimi ninateseka niko na deni hata kwa mama mboga. Wamenidharau watakudharau Mungu wa Ibrahimu waonyeshe kwamba hujanisahau Uuuu uuuu uuuu Kama Shadrack Meshack Abedinego Hata wanirushe kwenye moto Nikikosa ya dunia bado sitawainamia Sitawainamia Aaaah aaah Nisaidie Aaaaaaah Nisaidie Kwa kila kitu nifanyacho Baba nisaidie, nisaidie Kwa kazi ya mikono yangu Baba nisaidie, nisaidie Uniweke mbali na balaa baba nisaidie, nisaidie Niweke mbali na hasara Nisaidie, nisaidie. Contact email pitsonmusic@gmail.com IG https://www.instagram.com/therealpitson/ FB https://www.facebook.com/therealpitson Twitter https://twitter.com/theRealPitson #Nisaidie #PitsonMusic #NgommaGospel