
173,438 views
Anastacia Muema feat Ray Ufunguo
25 Feb 2023
Nawakaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa Rarueni Mioyo Yenu. Waimbaji: Anastacia Muema Feat. Ray Ufunguo Mtunzi: G.S. Masokola. Organist: Mark Miller. Audio na Video: RAJO Productions. Karibuni tutafakari pamoja haswa katika kipindi hiki cha Kwaresma. Mungu azidi kutubariki sote! #nyimbozakwaresma #anastaciamuema #lentenseason
