
985,833 views
14 Jan 2023
Karibu kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa NI UPENDO TU. wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi. Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions. Back Vocals-JKUAT CATCOM students(KMRM). Liturgical Dance- Assumption of Mary Parish-Umoja. Yote tuliyonayo maishani tumeyapata sio kwasababu tunastahili, bali ni kwa Upendo wa Mungu. Tuzidi kubarikiwa tunaposikiliza na kutazama wimbo huu.