
2,478,381 views
Anastacia Muema and Hendry Kimario
5 Nov 2022
Yesu ndiye kimbilio letu sote, Tunaaalikwa kwenda kwake nyakati zote za maisha yetu. Wimbo huu 'USIOGOPE NJOO" ni utunzi wake Hendry Kimario na umeimbwa naye Anastacia Muema. Audio na Video vimefanywa na RAJO Productions. Karibuni nyote tuweze kuusikiliza na kuutazaama.