
2,849,790 views
24 Sep 2022
Wimbo huu ukawe baraka kwa wote walio kwenye maisha ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia katika maisha ya ndoa takatifu. Baraka za Mungu zikawe juu yenu. Wimbo: Wewe ni wangu Mwimbaji: Anastacia Muema Mtunzi: Ray Ufunguo Kinanda: Ray Ufunguo Audio & Video: RAJO Productions Liturgical Dance: ARUSHA ELITE DANCERS #weddingsong #wimbowandoa/harusi #valentine