
252,002 views
Anastacia Muema feat Kate Mbinya and Maria Mule
4 Nov 2021
Mtunzi: P.F Mwarabu Waimbaji: Anastacia Muema Ft Kate Mbinya & Maria Mule. Sikukuu ya Kristu mfalme inatukumbusha kwamba Bwana wetu Yesu Kristu ndiye mfalme anaye tawala na kuongoza maisha yetu. Hivyo basi tunahimizwa tuyatoe maisha yetu kwake yeye atutawale siku zote. KARIBUNI!!!
