
93,188 views
22 Apr 2022
Kenyan singer and music producer, Ethan Muziki, unveils a moving visual for his single titled "Uko Poa", a song about finding yourself possessed of a ravaged memory and unstable balance after a relationship gone sour. "Uko Poa" is in effect an interpretation of Malone's "Better Now". LYRICS [Hook] Labda unafikiri uko poa saa hii Eti vile hauko na mi Sikutaka kukueka chini Ningekupa kula kitu wee [Verse 1] I did not believe that it would end no Nilifikiri yetu special You're not even talking to my friends though Mbona kila saa ni kama tunawachana Day ya kwanza kuna fire kila time na Siku hizi kukuona kuna line Used to keep my picture posted by your bedside Now it's in your dresser with the socks you don't like [Pre-hook] Sijafika mahali ntakuacha kwani Ningelipa mahari ulishaniwai Nakujulia hali kunilenga haifai Na nimeona [Hook] Labda unafikiri uko poa saa hii Eti vile hauko na mi Sikutaka kukueka chini Ningekupa kula kitu wee [Verse 2] Na mimi nataka tu kukuona Siku zimepita lakini ninakuota Tell me is there something inside the water Ama hizi ni mashetani zinanifwata Na juzi mama fua uliza Uko wapi kwani nilikukimbiza Juu nguo zako tena hazionekani Nikadanganya uko shule amerekani [Pre-hook] Sijafika mahali ntakuacha kwani Ningelipa mahari ulishaniwai Nakujulia hali kunilenga haifai Na nimeona [Hook] Labda unafikiri uko poa saa hii Eti vile hauko na mi Sikutaka kukueka chini Ningekupa kula kitu wee [Coda] Hau...vile hauko na mi' Ningekupa kila kitu