62,061 views
Anastacia Muema
25 Feb 2021
Tuijongee meza yake Bwana Twendeni kwa karamu, Bwana, anatualika tukale mwili wake, na kuinywa damu yake, tupate uzima wa milele umeimbwa na Anastacia Muema umetungwa na Paul Mziba umetayarishwa na Martin Munywoki