
4,984 views
Watunza Misingi feat Opobo, Momumo and Ras Muhemsi
1 Nov 2022
#MisingiJana#MisingiLeo#MisingiKesho Hii ni kazi mojawapo kutoka katika Kandamseto ya WATUNZA MISINGI iitwayo "MISINGI NA HIP HOP VOL III" wakishirikishwa (#OPOBO #MOMUMO Na #RASMUHEMSI Imetengenezwa na PATRINO (SWAX) Akishirikiana na D BEATS(DSM). Video imetengenezwa na GEEZY kwa Kushirikiana na WATUNZA MISINGI.
