
6,918 views
Watunza Misingi feat Makanta and Wanaboma
3 Oct 2020
Hii ni kazi mojawapo kutoka katika Kandamseto ya WATUNZA MISINGI iitwayo "MISINGI NA HIP HOP VOL I" wakishirikishwa MAKANTA na WANABOMA. Imetengenezwa na LOOPS (DSM) akishirikiana na NACH B (MBY). Video imetengenezwa na POSHADANTA (MBY). #SUBSCRIBE
