
2,190 views
9 May 2025
Tumetikiswa, tumeyumbishwa na mwovu shetani maishani mwetu lakini kupitia kwa upendo na neema zake Mungu wetu tumesimama imara. Tuwekeni kando tofauti zetu na tumtazame Yesu ambaye ndiye mwanzo na mwisho wa imani yetu. Barikiwa.