
196 views
19 Nov 2026
Wimbo huu unatukumbusha umuhimu wa kula kwa Hekima. Bwana anahitaji jeshi kubwa lenye afya la kumfanyia kazi. Epuka kula kinachoharibu mwili wako kwa kuzingatia kanuni za afya. TULE KWA HEKIMA@GospelMusicHymnSing @hopechannelkenya @SDAsongs @SpiritualWarfareWorshipSongs @AgapeIntSDAChoir @MlimaniSDAChurchTanzania