
2,892 views
10 Sep 2025
USIKATE TAMAA Simama wewe eeh Ndugu Usikate tamaa bado kuna Njia Mchana hufuata Usiku wa Giza ( Imani taa huangaza tena, simama eeh Ndugu bado kuna tumaini) X2 1. Umeanguka Mara nyingi, sana (kweli) Umebeba huzuni moyoni 2. Maandui wanakua-ndama kila saa (sana) wanakupiga vita wana-kunyanyasa 3. Kwa imani na-a upendo Utaweza (wewe) Kwa sababu wewe ni wa Thamani @starvisionmediapro @kmkmakuburi @dokctv_dokccatholic @SPYG-CHOIR @KUCC_CHOIR @anastaciamuema @bnmwanzia @stspeterpaulcatholicchoir @jimmiengamau577@masekete @kenkijana350 @GuardianAngelGlobalOfficial @JohnPaulIIMbeyachoir