
51,378 views
Kiambu Melodic Voices feat Cedrick Lumiti
7 Jul 2024
Kiambu Melodic Voices wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu kwa jina Mwimbieni Bwana. Pia wanayo furaha kubwa kuwashukuru walimu B.N Mwanzia pamoja naye Cedrick Lumiti kwa kufanikisha uimbaji huu mwema. Mungu atubariki sote #miminaneena#mkatoliki#angelic#kenya#tanzania#music#catholic#kenya #trending #trending #trendingvideo #kiambumelodicvoices