
4,741 views
19 Jun 2020
Contacts: +254717895858/+254728690381 Fb: His Chariots Email: hischariots@gmail.com #BATIMAYO Lyrics Mlilie nawe Bwana ndugu yangu, umweleze shida zikusumbuazo (Kwa magonjwa) Yeye ni tabibu (Na kwenye kiu) Ni maji ya uzima 1.Ndugu sikiliza habari ya mtu mmoja, Jina lake aliitwa kipofu Batimayo, Aliposikia Yesu anapita kando kando Ndipo akasema, e Bwana (Nirehemu nipate kuona, nirehemu mwana wa Daudi) 2.Tena sikiliza habari za mama mmoja Aliyetokwa na damu kwa muda wa miaka kumi na miwili Aliposikia Yesu anapita mjini kwao (Kasongea kaguza vazi akapona, kasongea kaguza vazi) Mama yule kapona…..