
3,735 views
5 Jun 2020
Contacts: +254717895858/+254728690381 Facebook: His Chariots Email: hischariots@gmail.com #Yehovamkuu YEHOVAH MKUU lyrics Kila siku najaribu kutenda mema, shetani naye aniwinda Bwana naomba unishike mkono uniongoze salama (salama) Wema, fadhilizako zatosha, wewe Mkuu wa vyote Hata kwa shida au kwa raha wewe ndiwe kimbilio letu Kama Daudi na udhaifu wake wote Alikutumaini hadi akawa Mfalme Mkuu Yehova Mkuu wa vyote AMIN… Japo pepo na mawimbi yawe makali, mashua nayo ikayumbe Bwana naomba unijaze roho uniangazie nuru Taji la jina lako latosha, wewe Bwana niongoze