
4,274 views
14 Aug 2026
Kama livyowatendea wale wazee zamani Atatenda tena maana Yeye ni Bwana mwaminifu hadi vizazi vitakao kuja bado Atazidi kutenda usichoke na safari amini Atakutendea hata kama tunapitia changamoto na kujiuliza maswali yasiyo na majibu amini tu Atatenda Tena #KurasiniSDA #KiberaSDA