
3,226 views
13 Mar 2026
Karibuni kutazama video ya wimbo wetu mpya unaohusu ujio wa Mfalme wa Amani na Wokovu. Wimbo huu ni ukumbusho wa unyenyekevu na haki ya Kristo anayekuja kwetu kwa upendo. Credits: 🎙️ Muimbaji:Kibera SDA Young Adults Choir 🎹 Producer: Brayo Muziki 🎬 Video: CBS Media Ungana nasi kwenye mitandao ya kijamii: Instagram: @kiberasdayouth TikTok: @kiberasdayouth #Garilavita #Kiberasda