20 Wauawa wakisubiri msaada

  • | BBC Swahili
    1,748 views
    Kumekuwa na ripoti karibu kila siku za Wapalestina kuuawa walipokuwa wakitafuta msaada Gaza tangu Mwezi Mei mwaka huu. Hii leo wengine 20 wamefariki kwa kukanyagwa na kudungwa visu mjini Khan Younis. Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa ilisema kuwa hadi sasa imerekodi mauaji 674 katika maeneo manne ya kituo cha misaada cha GHF. Mauaji mengine 201 yamerekodiwa kwenye njia za Umoja wa Mataifa na misafara mingine ya misaada, iliongeza. Jiunge naye @Martha saranga kwa tathmini ya kinna saa tatu usiku mubashara katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili. - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw