
5,393 views
13 Dec 2023
Wimbo huu unatuhimiza na kutukumbusha kujitayarisha kwa ujio wa Bwana Yesu Kristu. Umeimbwa na Kwaya Mt. Romano Mtunzi katika msimu wa Maajilio (Advent) December 2023. AUDIO NA VIDEO VIMEFANYWA NA KMRM-STUDIOS! SPECIAL APPRECIATIONI! KMRM inamshukuru mtunzi wa Wimbo huu D. Milenguko kwa kukubali na kutupa idhini ya kuinjilisha kupitia kwa wimbo huu. Tunashukuru team ya studio iliowezesha na kufanikisha kurekodiwa na kutoa video ya wimbo huu. Mtunzi: D. Milenguko Organists: Edward Stephens na Albert Nyabera Audio Engineer - Teddy Wambua Mpiga Picha - S. Wakhungu Mchanganyaji Wa Video - Godwin Akwomi Executive Producer - KMRM-STUDIOS #wanaromano #tujengekmrm #kwaresma