
114,983 views
22 Sep 2023
Wimbo huu unatuhimiza na kutukumbusha makuu yote ambayo Mwenyezi Mungu ametujalia na kwa hivyo kutusihi kumrudishia shukrani kwa njia ya kutoa sadaka. Umeimbwa na Kwaya Mt. Romano Mtunzi AUDIO IMEFANYWA NA KMRM-STUDIOS! SPECIAL APPRECIATIONI! KMRM inamshukuru mtunzi wa Wimbo huu Ben Nturama kwa kukubali na kutupa idhini ya kuinjilisha kupitia kwa wimbo huu. Tunashukuru team ya studio iliowezesha na kufanikisha kurekodiwa na kutoa video ya wimbo huu. Mtunzi: Ben Nturama Organist: Albert Nyabera Fundi wa Mitambo - Teddy Wambua Mchanganyaji wa sauti- Teddy Wambua MANENO YA WIMBO (LYRICS) #wanaromano #tujengekmrm #kwaresma