
2,374 views
13 Mar 2020
Wimbo mpya Kutoka wa Sola Light unao Sema Tumekuja kuabudu. Wimbo ambao Unamgusa Mungu pia unaleta uwepo wakuabudu.Barikiwa sana unapotazama video hii najua hautabaki jinsi ulivyo, utabarikiwa.Please usisahau kuingia kwenye Chanel yetu ya Gamba Productins... na SUBSCRIBE,SHARE NA PIA LIKE Ilikupata nyimbo nzuri za kuabudu na kufariji moyo wako. Artist:Sola Light. Song writer:Abeddy Ngosso. Produced:Gamba Productions.