
55,112 views
Sola Light feat Solomon Mkubwa
12 Mar 2020
Wimbo Mpya kutoka kwa Sola Light Ft Solomoni Mkubwa Wimbo ambao utafariji moyo wako kindani zaidi. Pengine kuna mambo una pitia yesu yupo tayari kukujibu haja za moyo wako kupitia wimbo huu. Barikiwa unaposiliza.